Recent content by Mbonilile

  1. M

    Kamati Kuu ya CHADEMA yakutana Igunga

    kwa hali ilivyo, Igunga inakwenda CUF, CDM wamepokelewa na wafuasi wa CUF kwa wingi wao na hii ni ishara mbaya kwa CDM.
  2. M

    Matokeo ya Kura za Maoni Igunga: CCM - Dr Kafumo, CHADEMA - Mwl Joseph Kashindye

    Mamoboi naingana nawe kwa asilimia 100%, hali iliyopo Igunga ukifuatilia kwa umakini utakuta mgombea huyo wa CUF ndo anatajwa zaidi, na tangu jimbo limekuwa wazi yeye na MAHONA na timu za oganaizesheni za CUF wamekuwa ndani ya jimbo. Faida kubwa aliyonayo Mahona ni kuwa; Amegombea ubunge mwaka...
  3. M

    Mtatiro(CUF), Nape(CCM) na Erasto Tumbo(CDM) "LIVE" on MLIMANI TV Leo saa 2 usiku

    UDSM unayoiongelea ni ipi? kila mtu alikuwa UDSM bradha, Mtatiro ni jembe na watu wanamuamini, sema tu humu JF kuna baadhi ya watu kama wewe ambao wanataka watu fulanifulani tu ndio wapewe credit. Mimi nimemfahamu mtatiro katika harakati zake na hata hizo enzi za DARUSO, alim_outnumber...
Back
Top Bottom