Recent content by Mbonea mweta

  1. Mbonea mweta

    Mfumo wa ulipaji ada pale Sokoine University (SUA)

    Fika chuo kwenye Reg utapatiwa Control Number valid then maisha yataendelea.
  2. Mbonea mweta

    SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE

    Pitia Sua prospectus utapata maelezo mazuri pale. Karibu SUA
  3. Mbonea mweta

    Msaada Shule Binafsi Za A-level

    au moshi shule moja inaitwa majengo sec
  4. Mbonea mweta

    Msaada Shule Binafsi Za A-level

    range ya ada ni 980k-1.3M inategemea lkn hostel napo sikushauri maana anaweza akapata taaaabu sana tfu za kijedah lkn kama una ndugu ni heri akawa day scholar ila hostel pekee ni 1.4-1.5 M
  5. Mbonea mweta

    Msaada Shule Binafsi Za A-level

    shule za jeshi mfano jitegemee,makongo kizuka airwing kwa masom ya art wako vzur na ada zao ziko chini sana pia hata 3000 wao wanapokea yaani unalipa kidogokidogo nmesoma huko lakin kwa sayansi nsidanganye fanya utafiti
  6. Mbonea mweta

    naomba msaada kuhusu kurudia mtihani wa kidato cha sita

    Jitegemee jkt hutajuta I completed a level there
  7. Mbonea mweta

    Ushauri kwa wazazi na vijana wanaoelekea Kufanya Mitihani ya Kuhitimu Kidato cha Nne CSEE

    Muombee mwanao kwa Mungu na umkumbushe pia afanye maombi kidogo kabla na baada ya mtihani
  8. Mbonea mweta

    BSC. EEP

    HV unajua maana ya BSc au unajiandikia tu
  9. Mbonea mweta

    Handeni walimu wako bize na bodaboda na tigo-pesa

    Sikia nikushauri usifanye KAZI isiyolipa acha ualimu uone impacts
  10. Mbonea mweta

    Handeni walimu wako bize na bodaboda na tigo-pesa

    Mgomo barib ndo ukoje halijui hata kutype
  11. Mbonea mweta

    Handeni walimu wako bize na bodaboda na tigo-pesa

    Hivi we mwl gani hutambui mamlka za MKUU WA wilaya wewe Nina wasiwasi na elimu yako
  12. Mbonea mweta

    Handeni walimu wako bize na bodaboda na tigo-pesa

    Acha KAZI kuna watu wanautaka huo ualimu we kapige bodaboda au tigo pesa mh Godwin Gondwe njoo uone walimu wako huku wamekuwa mawakala na mabodaboda
  13. Mbonea mweta

    Handeni walimu wako bize na bodaboda na tigo-pesa

    Broo watoto WA maskini ndo wanaoumia si unajua vita vya panzi ni ....
  14. Mbonea mweta

    Handeni walimu wako bize na bodaboda na tigo-pesa

    Ya bodaboda IPO ila unasema mshahara mdogo waache KAZI wakawe mabodaboda
Back
Top Bottom