Recent content by mbonde

  1. M

    mafundi simu wa upande wa software naomba tukutane hapa

    ningeweza kukusaidia ndugu ila sina cracks...kwa ushauri ukiingia google ukiandika miracle box crack vitakuja vitu viingi kuhusiana na hitaji lako
  2. M

    mafundi simu wa upande wa software naomba tukutane hapa

    kama wewe ni software technician wa simu...eleza tatizo lako na saidia katika ufumbuzi wa masuala mbalimbali yanayohusiana na software katika simu..mnakaribishwa...by the way naitwa mbonde
  3. M

    kuflash simu na maelekezo ingia hapa

    nmeshaambiwa nimeelewa tayari
  4. M

    tecno k9 factory firmware(fix camera failed)

    with this firmware you'll be able to fix camera failed problem solve hang on logo clear passwords,pin & pattern clear privacy lock bootloop issue unsupported API DOWNLOAD HERE [TECNO SPARK PLUS K9 FACTORY SIGNED FIRMWARE - HI-PROTECHY
  5. M

    kuflash simu na maelekezo ingia hapa

    sawa mkuu...sikujua
  6. M

    kuflash simu na maelekezo ingia hapa

    kwa mahitaji ya kuflash simu na maelekezo
  7. M

    kuflash simu na factory files ingia hapa

    peleka kwa fundi hardware
  8. M

    kuflash simu na factory files ingia hapa

    ok ...kuna uwezekano mkubwa tatizo lako ni la hardware
  9. M

    kuflash simu na factory files ingia hapa

    hebu jaribu kuangalia kama imei za ndani na nje zinafanana...kama hazifanani simu itakuwa ya kuflash ilw kama zinafanana jua ni tatizo la hardware..hadi ifunguliwe
  10. M

    kuflash simu na factory files ingia hapa

    ncheki namba 0715629715
  11. M

    kuflash simu na factory files ingia hapa

    inawezekana ila mpaka niwenayo mkononi
  12. M

    kuflash simu na factory files ingia hapa

    ningeweza kukusaidia ndugu ila nmebobea kwenye simu..kwenye modem sipo vzr sana
Back
Top Bottom