Recent content by mboji

  1. M

    JamiiForums Tanzania Yanga inalindwa kama Benki na timu rafiki

    Benchi litamtowa roho
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mbowe ashauriwe kupokea simu, nyingi ya hizo zina jumbe zake muhimu kwa mustakabala mwema wa chama!

    Nakubaliana wewe lakini wacha tungoje muda uamuwe
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mbowe ashauriwe kupokea simu, nyingi ya hizo zina jumbe zake muhimu kwa mustakabala mwema wa chama!

    Haohao wajumbe sikuizi huwa wanadilisha gia angani hiyo nimeishuhudia kigoma wakati wa kura za maoni baruani muhuza alijuwa kwa nguvu aliowekeza lazima apite kumbe wajumbe walikuwa wanamchora tu alipokuja muwekezaji zaidi yake chali
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumsikia Mbowe akizungumzia Katiba Mpya ya JMT, Nadhani hicho siyo Kipaumbele chake bali ni Kipaumbele Cha Chama!

    Kwaiyo pesa zetu tulizotowa kukusanya maoni kwa akili ya katiba mpya ziwe zimeenda kusikojulikana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Mbowe ni Mhaini kama wahaini Wengine tu

    Kwamba hukumskia yeye mwenyewe kwa kauli yake mbele ya waandishi kuwa huwa anakikopesa chama?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mbowe ashauriwe kupokea simu, nyingi ya hizo zina jumbe zake muhimu kwa mustakabala mwema wa chama!

    Unajidanganya mkuu na nionavyo wewe hujawahi hata kupiga kura nimeshuhudia kwenye chaguzi sio mara moja watu wanabadilisha mawazo kwenye foleni ya kupiga kura kwa kupewa vipande thelathini vya ngawila
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kujilinda na kujikinga dhidi ya magonjwa ya FIGO

    🤣😂🤣😂
  8. M

    JamiiForums Tanzania MAHONIA: Uchaguzi huu unaenda kuamua kati ya KIFO na UHAI wa CHADEMA

    Chawa kama chawa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo mkali wa Lisu ndio uliomfanya Mbowe atoke gerezani

    Baaaasi
  10. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu apinga tuzo aliyopewa Samia na kusema kuwa huo haukuwa uamuzi wa Chama bali maamuzi binafsi ya Mwenyekiti, ataka ahojiwe

    Ndio maana sasa watu wanasema mwenyekiti bado ameganda kwenye siasa za kikwete wakati ccm uko haipo tena
  11. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu apinga tuzo aliyopewa Samia na kusema kuwa huo haukuwa uamuzi wa Chama bali maamuzi binafsi ya Mwenyekiti, ataka ahojiwe

    Akiwa yeye na nani? Maana maamuzi huwa yanatolewa na vikao vya kamati kuu kamati kuu haijatia baraka zake halafu unasema hoja nyepesi
Back
Top Bottom