Recent content by Mbogo maji

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

    Hodi tena wapishi wenzangu Eti katika upishi wa chapati unga unaofaa ni unga wa ppf??
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kutengeneza pizza keki

    Chakula kinaonekana kitamu mnooooo lkn ili kiwe kitamu zaidi maelezo ni muhimu kwani wengne pizza twazickia ktk movie zikitajwa ila hatujawahi ziona wala kuzila huju kijjn kwetu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa jinsi ya kutengeneza visheti

    Hv kwa mtu anaetaka kuuza atapata faida kweli km mahitaji yake yanaonekana kuwa ya gharama sn??
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mapishi ya maandazi

    Samahani wapendwa wangu!! Hivi unapokanda maandazi ni ada kukandia maji ya moto au baridi ili yawe laini?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

    Kweli mapishi ni ubunifu tu lkn ubunifu huo unahitaji angalau ujuzi japo wa kushudia tu nn kinatendeka ktk uandaaji mzima bila hivyo changamoto ni kubwa zaidi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika Visheti

    Ni ule uji au mchanganyiko wa sukari na maji kiasi unaoandaliwa kwa ajiri ya kuungia visheti vikishaiva ili vipate sukari ile unayoionaga inagandia juu ya visheti. Ngoja waje wenye maelezo mazuri utaelewa tu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika Visheti

    Njoo kwangu nikupikie ili ukaushe mate yako@farkhina
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mapishi ya maandazi

    I wonder where have i been all dis years. Jf is a best place,, i love you all.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rosti viazi na samaki wa kukaanga

    Nyam nyam nyam
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika Visheti

    Mbona vinakuwa vigumu tofauti na vile vya mtaani vinakuwa lainii na sukari yake hadi raha sema vinavutika km mpira. Msinichoke mpishi mm
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika Visheti

    Pia nilijaribu kupika lkn sukari ndo majanga namna ya kuifanya igande ktk visheti,,mweeee mapishi haya ni fumbo kubwa mno. Sio mbaya nikipewa ufafanuzi ktk maswal yangu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika Visheti

    Hamira hutakiwi kuweka au baking powder je???
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

    King'asti hutajuta ukizipika zipo poa ile mbaya
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

    Mimi nimejaribu kuzipika yaan ni lain kiasi ambacho ckuamn aisee dada farkhina Mungu akupe maisha marefu
Back
Top Bottom