Tunafuatilia ya pesa wanazo tumia ni za uma,kumbuka kuwa kama wajumbe wangekuwa Dodoma bila kutumbua pesa za uma usingeona mtu yeyote anafuatilia upuuz unao endelea Dodoma zaid ya chama chenu cha mafidi.

Mkuu Chinga One, jana madeva wa mabasi ya mikoan wanasema CDM inanguvu,wamesafir bila kusimamishwa na Trafik barabaran kisa askar wote mameishia kwa CDM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.