Recent content by Mbochele

  1. Mbochele

    Kwa mabilioni haya ya Ruzuku CHADEMA, Tutamjua Mbowe ni Nani

    Hahahaha we mkali kamanda
  2. Mbochele

    Baniani mbaya, kiatu chake dawa: Wa kushukuriwa ni Lowassa

    Hakuna cha kukata pumzi labda mungu amchukue Hii ndiyo spidi inayotakiwa na hatuamini cz haijawahi tokea just tumuombee ili awe na nguvu ya kuendelea kuyasimamia haya aliyoyaanza
  3. Mbochele

    Ada na Michango mashuleni kwa ajili ya mwaka ujao, imeagizwa kama kawaida!

    Dah kaka hapo mnaenda kitakwimu zaidi kuliko ukweli halisi nenda manispaa ya kinondoni kwa afisa elimu kakusanye data then ruksa kujudge Hata wakati wa MMEM hawajawahi leta hela kama hiyo labda kwa shule ambazo zilikua katika ujenzi.MM nimekwambia laki nne hauamini
  4. Mbochele

    Ada na Michango mashuleni kwa ajili ya mwaka ujao, imeagizwa kama kawaida!

    Kaka unaendeshaje shule ya wanafunzi 2500 kwa capitation ya sh laki 4 kwa mwaka?? Afu msingi na sec ni tofauti na hivyo vi tution ndivyo vilivyokua vinafanya dar iongoze kitaaluma kwa std seven
  5. Mbochele

    Ada na Michango mashuleni kwa ajili ya mwaka ujao, imeagizwa kama kawaida!

    Kwa wasiojua undani wa elimu yetu ya kinyonge watafurahi sana but kama kweli wanauchungu na watanzani inakuaje ada kwa shule binafsi zinapanda kila kukicha? Mwalimu akijilipa posho mwenyewe inakua nongwa wakati mbunge anayelipwa mamilioni kila mwezi, awapo bungeni analipwa posho hii imekaaje?
  6. Mbochele

    Mshahara wa mbunge ni milioni 3.8 kwa mwezi, Posho ya Ubunge ni..

    Kwa nn walipwe posho wawapo bungeni wakati wanalipwa mshahara??
  7. Mbochele

    Pwani - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Hazina ukweli wowote katangazwa jafo kua ni mshindi
  8. Mbochele

    Zanzibar waizika ccm kabla ya uchaguzi

    Uwingi wa watu kwenye mikutano ya kampeni sidhani kama ni kigezo cha ushindi penye wengi kuna mengi
  9. Mbochele

    Hatimae mpambano wa CCM na Mh Lowasa umewadia.

    Ccm hata waweke jiwe wanashinda maana wana wapambe ambao huwezi kuwaambia kitu xo lowasa anaweza akatoswa na atakayesimama akashinda tu
  10. Mbochele

    Bunge hili ni "kupe" na liingizwe kwenye ile "list of shame" ya Dr.Slaa

    Hivi inawezekana vp ndani ya miaka mitano mbunge alipwe pension sh. Mil 230 wakati wafanyakazi wengine wanaitumikia serikali kwa zaidi ya miaka 20lakini malipo yao hayafikii hata nusu ya hela hiyo Au labda upeo wangu mdogo hebu tulijadili hili suala
  11. Mbochele

    Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, aamua kuvuruga uandikishaji, Dr. Slaa aingilia kati Kuokoa jahazi

    Mbona sehemu zote wameandikisha mwisho saa 12 iweje arusha? Au huko ndo kuna watanzania xana kuliko maeneo mengine? MTAZAMO WANGU
  12. Mbochele

    Mwenye ushahidi wa dhahiri juu ya ufisadi wa Lowassa aweke hapa hadharani! Tuache porojo!

    Hawezi kuongelea ishu kama hiyo wakati hana mamlaka kamili subiri wajichanganye wampe ili awafunge vizuri na ndo hofu yao kubwa
  13. Mbochele

    Yaliyojiri Mwitongo, kutangaza kuwania urais kwa Makongoro Nyerere

    Kwa nn ataje wenzake ? Mbona lowasa hakutaja wala kupiga vijembe?
  14. Mbochele

    Team Wasira ni Noma

    Mwenyewe anadai kajenga mashule jimboni mwake na kujenga mabwawa
Back
Top Bottom