Nyumba ipo Dar es salaam,Mbezi Luis,Kibanda cha Mkaa,morogoro road.Ina vyumba 3 vya kulala,sebule kubwa,vyoo 2,stoo,jiko,chumba kimoja kinajitegemea kwa choo,umeme upo,maji yapo,nyumba imezungushiwa Fency,kodi kwa mwezi 250,000, kodi inaanzia miezi 6 mawasiliano ni 0766 47 47 76 au 0776 47 47 48...