Recent content by mbilika

  1. M

    Android Tv Box......

    hii pc ya m73 naweza kuipata wapi,nipe number ya muuzaji
  2. M

    Vipaji link ni Majanga hamko serious

    muda ni mali bwana>Unapoitwa kwenye interview nafikiri huwa unapigiwa simu,kama umeambia ufike then muda wako haukuruhusu kwaniniusiombe muda mwingine wa interview.
  3. M

    Vipaji-link recruitment ni matapeli wakubwa, msije kudanganyika na ajira zao

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA KAZI NA AJIRA TAARIFA KWA UMMA TAMKO LA SERIKALI KUHUSU KUSITISHA UTARATIBU WA KUKODISHA WAFANYAKAZI UNAOFANYWA NA BAADHI YA WAKALA BINAFSI WA HUDUMA ZA AJIRA 1. Wizara ya Kazi na Ajira imekua ikipokea malalamiko toka kwa wadau mbalimbali...
Back
Top Bottom