Recent content by Mbigirikavu

  1. M

    Nasubiria kusikia Adhabu Kali kutoka TFF kwa Mshambuliaji Mayele na Kocha Nabi

    Ila mayele ni zuzu, kucheza yanga kwake anajiona kamaliza. Anajidekeza sana. Hataki aguswe kabisa mpaka wakati mwingine anawanyima yanga magoli kwa kudeka kwake. Akihisi anakutana na mtu anaachia mpira kirahisi tu. Sasa akikuta na miti mikavu kama inonga, mzamilu au onyango, anahangaika kuhama...
  2. M

    Yanga yamtaka Fei Toto arudi klabuni haraka na pia klabu ipo tayari kumuuza

    Wachezaji wanatakiwa waangalie Sana wanapoingia mikataba na hiyo timu. Wachezaji kama binadamu wanaweza kufikwa na lolote la kulazimika kuachana na yanga. Wakati wa kusaini mikataba wachezaji wanatakiwa kuchunga Sana vipengele vya kuvunja mikataba. Leo kwa Feisal, kesho kwa mwingine...
  3. M

    Tetesi: Simba mbioni kupigwa mnada

    Kwa hiyo ikiuzwa mimi shabiki au mwanachama wa simba niumie au nifurahie? Mwekezaji ana hisa zake 49% wenye simba yao wana hisa zao 51%, anayeuza timu nani hapo? Inauzwa timu au zinauzwa hisa?
  4. M

    Manara awatolea povu mashabiki wa mpira kuhusu picha ya Mayele na Uwoya

    Sasa ulikwama wapi kueleza hivi kwenye taarifa yako ya awali.?
  5. M

    Sofiane Boufal awaomba msamaha wa Africa

    Kwa kuwa ameomba msamaha mimi mbigirikavu naupokea kwa moyo mmoja. Neno samahani ni neno kubwa sana. Sio kila mtu anaweza kutamka. Uhakika wote tuliopitiwa na mipaka ndani ya bara la Afrika ni waafrika. Rangi ni mapambo tu ya dunia. Wasingekubali kucheza na waafrika kama wao ni waarabu...
  6. M

    Hatimaye uongozi sikivu wa Simba SC, waazimia kuboresha kikosi

    Kikao cha Bodi ya Wakurugenzi juzi, kimeamua kuleta furaha kwa wana Simba kwa kukisuka vilivyo kikosi cha Simba SC. Baada ya kutambulisha kocha wa makipa na wa viungo, wataleta kocha mkuu, mtaalamu wa kuwasoma wapinzani, na wachezaji wanne: Washambuliaji wawili. Kiungo mkabaji. Beki wa...
  7. M

    Pombe sio sehemu ya mchezo wa mpira, chezeni mpira acheni ulevi wa pombe

    Kuna mpango wa kuwafanya muache kabisa kunywa. Mwaka huu mbona mtakoma. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

    Suala la CAF liachie simba. Club africain asikutie jeuri kiasi hicho.
  9. M

    FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

    Usijaribu tena michezo ya kubahatisha. Fanya kile ulicho na uhakika. Sawa?
  10. M

    FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

    Sakho majeruhi? Kama vipi mgunda ajaze viungo wengi. Lirudi soka letu. Kufunga atafunga yeyote. Asilazimishe mastriker butu. Wanaziba nafasi muhimu. Kwa maslahi ya timu.
  11. M

    Ni wajinga wa soka pekee ndiyo wanaoweza kusema Yanga ananunua mechi

    Kupenda kubaya sana. Yaani leo mtu anaandika eti Djuma ni bora kwa Israh,, Halafu anamwacha Kapombe pembeni anamchagua Israh. Kuna usalama utopoloni huko?
  12. M

    FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

    Viongozi wanaoendeshwa kwa makelele. Hawafanyi jambo mpaka wapigiwe makelele.
Back
Top Bottom