Recent content by mbhudogo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dr. David Bell: Magufuli kukataa lock down nchini Tanzania kuliokoa maisha ya maelfu ya watu

    Agree with you Magufuli will always be remembered...................
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji Rais anayejiamini na mwenye uhakika wa Jambo lake na Maamuzi yake

    100% agree with you mwenye huu Uzi...............
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo wangu Joseph Yona kwenye serikali ya Rais wetu mpendwa, Samia Suluhu Hassan

    IFIKE HATUA TUWE NA HOFU YA MUNGU.... aya Tangu JPM kafariki, nafikiri unashuhudia yanayotokea sasa hivi, upigaji wa pesa, ujambaz nk.. mbona kipindi cha JPM mambo haya yalitulia kabisa..sasa watu wanaibiwa mchan kweupe,,, watu wanajilipa posho za mallion hilo nalo unaliongoleaje
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo wangu Joseph Yona kwenye serikali ya Rais wetu mpendwa, Samia Suluhu Hassan

    nawe jiandae...kila nafsi itaonja mauti,, na Kwa taarifa yako JPM atabaki kua JPM shujaa wa AFRICA
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo wangu Joseph Yona kwenye serikali ya Rais wetu mpendwa, Samia Suluhu Hassan

    siku yako yaja temea mate chini............. usifurahie kifo cha mwenzio huenda chako kikawa cha aibu kabisaaaaaaaaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sasa itakuwa na kadi za aina 5 za uanachama zitakazolipiwa viwango tofauti kwa mwaka

    Agree with you... Bado sijaona kama itatokea ck moja wakashinda na kuitawala nchi hii...kwanza democrasia ianzie humo ndan kwao , waanze na kumpatia nafasi ya Mwenyekiti , mwanachama mwingine... Maaana aliyepo anajiona Mungu mtu, nkubki kumpK MATOPEJPM while ndan yao wamejaa udhalimu, ufisadi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hii kasi ya ujenzi wa ofisi za CHADEMA Nchi nzima tena kwa michango ya kawaida ya wanachama wao ni ya kupongezwa

    Wanywa Faru John ndo viongozi smart?????????
  8. M

    JamiiForums Tanzania Video: Msafara wa CHADEMA kuelekea Shinyanga Usipime! Maandalizi yakamilika

    mtachoma sana mafuta kuongoza nchi hii msahau..................
  9. M

    JamiiForums Tanzania Posho walizolipana watendaji wa wizara ya fedha hazina tofauti na posho za kukaa wanazolipwa wabunge

    Jiulize kama wizara zote zitalipana posho kwa staili hii, nchi itabaki na nini hhahahhah..................................
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo wangu Joseph Yona kwenye serikali ya Rais wetu mpendwa, Samia Suluhu Hassan

    Dah naona unaanza kujipigia debe upate uteuzi.. hahahahhaaa tukuweke Wizara gani Kijana .......................
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sasa itakuwa na kadi za aina 5 za uanachama zitakazolipiwa viwango tofauti kwa mwaka

    wapiga dili sasa mtaani kidigitali..........................
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sasa itakuwa na kadi za aina 5 za uanachama zitakazolipiwa viwango tofauti kwa mwaka

    chama cha ukombozi wa familia yako......
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sasa itakuwa na kadi za aina 5 za uanachama zitakazolipiwa viwango tofauti kwa mwaka

    mnataka kuanza kula pesa za wananchi... mlizopora kwa wabunge wenu hazitoshi tu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Watendaji Wizara ya Fedha wasimamishwa kazi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

    Magufuli alishawaambia mapema ni madudu gan yaliyokua yakiendelea ndan ya serikali... huu ni mwanzo tu ..makubwa yaja na alisema ipo siku mtanikumbuka, ni muda mchache sana umepita tangu afariki, tunashuhudia ujambazi kurudi kwa kasi, madawa ya kulevya, watu wanapiga dili sasa kwa kwenda mbele...
Back
Top Bottom