Recent content by Mbhg

  1. M

    JamiiForums Tanzania Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Pasco, huyu anauliza swali ninalojiuliza pia, majibu tafadhali kama yapo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Mkuu samahani, nimekupm maana nina shida binafsi na ww Naomba fungua pm yako unisaidie
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuna watu wamefanikiwa kupitia Forex hapa Bongo?

    Lakini pia napenda kuhold positions kwa muda mref(swing trder), hata wik au hata mwezi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuna watu wamefanikiwa kupitia Forex hapa Bongo?

    Mkuu, naomba elimu ya "Why" of the market direction zaid, kama hutojali. Namaanisha fundamental ninayoijua ni hii ya muda news basi, lakin mi natrade kwa kuangalia market structure tu, yaani technical analysis
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kupitia UTT, Ninahitaji milioni 2 kila mwezi

    Mkuu Kingoligarchy, kuna uwezekano ukauza T-Bond uliyonunua kupitia pesa ulizokopa saccos/uliyokopea bank kabla ya kumaliza marejesho huko saccos/ huko bank? Kama inawezekana ni kivip? Na je, retail, kikundi, kampuni naweza kununua t-bond bila kupitia kwa broker? Msaada wako pls.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kupitia UTT, Ninahitaji milioni 2 kila mwezi

    Samahani sana mkuu, baada ya kusoma hiz nondo zako naona kama majibu ya changamoto zangu yanakwenda kupatikana, naomba nikupm kama hutajali
Back
Top Bottom