Recent content by Mbezi1980

  1. M

    Natafuta Chumba Kimoja Kwa Siku 13

    Mimi ni mkaka wa miaka 34, naishi nje ya nchi ila narudi Tanzania baada ya muda mfupi ujao. Natafuta chumba kimoja kwa muda wa siku 12 hadi 13 nitakapokuwa Tanzania. Kuna baadhi ya watu wenye nyumba yenye vyumba vya ziada. Ningependa kupata sehemu kama hiyo maeneo ya Hoysterbay, Mikocheni...
  2. M

    Mrema: Serikali imeshindwa, ijiuzulu

    Mrema kasema kweli. Hapo hakuna ubishi
  3. M

    Rais Kagame Kamteua Mtanzania kuwa waziri

    Haya sitashngaa wengine zaidi wakiteuliwa, kama zawadi kwa kikwete kuwp wanyarwanda hifadhi tanzania
Back
Top Bottom