Recent content by Mbezi kimara

  1. M

    Nahitaji mchumba / mwanaume ambaye ni HIV+

    Habari zenu mimi ni mwanamke wa miaka 32 narudi tena kwa mara nyingine nahitaji mchumba/ mwanaume ambaye ni HIV+ sifa zifuatazo: Awe: mwanaume Umri:33-36 Awe: amejiajiri/ kuajiriwa Awe: tayari kuanzisha familia Asanteni.
  2. M

    Tangazo

    Best Western CBD hotel, tunahitaji fundi wa maintains (In painting(color/paint mixer) added advantage plumbing) Send Cv Email: hr@bestwesterncbdhotel.co.tz
  3. M

    ANAEFAHAMU ZILIPO OFISI ZA ARAB CONTRACTORS AU EL SEWEDY CONTRACTORS .

    Arab contractors Wapo makumbusho karibu na Jengo la Tigo HQ
  4. M

    Natafuta mchumba wa kiume (HIV+)

    Habari Mdada wa miaka 31, natafuta mkaka ambaye atakuwa tayari kuwa mume. Vigezo: mstarabu, mchapakazi. mbaye pia sio HIV+ anakaribishwa.
  5. M

    Natafuta Secretary

    Nipo Tayari
  6. M

    Natafuta nafasi ya kazi legal officer

    Wakuu mimi ni mdada natafuta nafasi ya kazi legal Officer, Human Resources ofisi yoyote nipo Tayari Nina Degree ya sheria. Nashida kweli kweli
Back
Top Bottom