Recent content by Mbepo21

  1. Mbepo21

    Furahia kila nyakati yako

    Usinune sasa unapopata nafasi ya kufurahi moments nzuri hazi dumu, moments nzuri ndio tunazipambania katika lifetime yetu yote. Unaweza kuta ndio ulikua wakati wako bora wa kufurahi na kuhadithia zaidi ya hapo utatembea na maumivu makali, enjoy kijana, msela, binti. Tomorow is not promised au sio.
  2. Mbepo21

    SoC04 Vigezo na Masharti ya kushiriki katika Shindano la Stories of Change - 2024

    Jinsi gani unaweza post andiko lako katika stories of change?
Back
Top Bottom