Recent content by mbenyanga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza huawei y330 laki moja na elfu 10. Nipo mwanza 0756481595
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Itapendeza zaidi mtaje na sehem mnazopatikana. Mana humu ndani tupo mikoa yote
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamaa ni mwizi tu. Kama mwenyewe anapata sana aweke mzigo sasa nae anataka atule sisi tena,?? Mm ndo mana nimemwita mwizi tu akawaibie wajinga
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna jamaa humu aliweka namba kua tumfuate wasap kumbe ni mwizi tu et anaka hela harfu akutumie odd..
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Msiogope mwenzetu leo kautua umaskini lasmi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nitafutieni hata game tano tu kutoka kwenye megamix ya wiki walau nile nitoe gundu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tupia prediction yako kwa perfect 12 tujaribu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe,wahamasishe vijana CHADEMA wafanye kazi kujiingizia kipato

    Una akili timamu na ni mtu mzima unasubili kuhamasishwa ndo ukafanye kazi??? Komboka kifikra
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe,wahamasishe vijana CHADEMA wafanye kazi kujiingizia kipato

    Wewe na akili zako timamu unasubili uhamasishwe kufanya kazi ndipo ukafanye??? Kweli tanzania kupata ukomboz bado sana. Mana vijana wenye mawazo kama hayo bado hawajakomboka kifkra....
Back
Top Bottom