Hata kiuchumi yupo sahihi pia
Sababu:
Ikiwa utasafirishwa unga maana yake utasanga kwa mashine za Tz, hivyo utaongeza kipata kwa wamiliki wa mashine pia utasaidia kupatikana kwa ajira kwa wasagaji.
Pia ukisaga unga lazima utaweka ktk vifungashio, hivyo utakuwa umeongeza thamani ya zao husika...
C hivyo tu kiongozi, serikali sasa ina mpango wa wananchi wake wote kuwa na nyumba za umeme, hivyo ni fursa nyingine c tu kuongeza mapato ktk shirika la umeme ( TANESCO) lkn kupitia program hii ya wakala wa umemd vijijini na hata mjini. Serikali inaweza ikaziunganisha wizara ya nishati na ile ya...
Zama zimebadilika hebu na wewe fikiria kitu chanya ili kusaidia kujenga taifa letu. Kifupi, mh rais amewapa siku 14 wajiondoe kwa hiari, kwa mtu anayejua ana makosa lazima atafanya hivyo tu, kama huna naamini atasubisi baada ya muda huo kisha atajitetea mbele ya mahakama.
Ndug nchi, mawazo aliyotoa zitto ni sahihi lkn mawazo aliyokujibu ndugu yangu hapo juu ni sahihi zaidi. Kwann, hilo linaweza kuwa ni swali fikirishi, na majibu yake ni kama ifuatavyo;
Zitto ameenda ktk muktadha wa kuangalia nchi zitakazonufaika na mradi huo, ambazo kimsingi ni Rwanda, Burundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.