Serikali ya Tanzania chini ya chama cha CCM imetoa uhuru wa Wananchi kuongea wanacho jisikia bila kuvunja amani ya nchi..!
Kama ni hivyo kila mwananchi ana uhuru wa kujieleza...!
So endeleni kuongea tuu...!
Unajua huwa nawashangaa sana wananchi wenzangu wa Tanzania, baadi yetu tumekuwa tukiamini eti labda wapinzani wakiingia ikulu maisha yatabadilika gafla bin vuu..!
Sio kweli hakuna maendeleo yatakayo kuja kwa siku moja, hata roma haukujengwa kwa siku moja...!
Na mara nyingi nashindwaga kuwaelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.