Recent content by Mbaya1978

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kesi ya kazi

    Hbr zenu washirika wenzangu, leo napenda kufahamu juu ya yale anayostahili kulipwa mfanyakazi/kibarua wa ujenzi aliyeajiriwa kwenye kampuni ya ujenzi na kusaini "oral contract form" baada ya kumaliza/kufukuzwa kazi kabla ya kumalizika kwa mradi. Ahsante, Wako, Mbaya1978.
Back
Top Bottom