Kichwa kuuma, shingo, kukohoa kidogo, sikuvimba tezi ila misuli ya tezi shingoni ilivimba, skin Itching, appetite ilipungua,,,na nyingine ndogo ndogo.
Nilipokwenda hospital na kukutwa na UTI, Doctor aliniambia bacteria walisambaa sana mpaka wakaingia kwenye damu, hivyo baadhi ya dalili...