Recent content by Mazy

  1. M

    JamiiForums Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Umejitahidi sana almost hukuacha kitu, this is superb!
  2. M

    JamiiForums Sakata la Richmond: Dr. Mwakyembe amkaanga Lowassa, Kumburuza Mahakamani...

    BungelaKatiba2014tz Hapo ni kuikaanga ccm maana kama alikutwa na hatia kwa nini hayuko jera au angalau kufunguliwa mashitaka akiwa ccm? Hapo itatufanya tuamini kuwa ccm ni kichaka cha kulinda mafisadi!
  3. M

    JamiiForums Magufuli akili CCM kuwanyanyasa watanzania

    Kero zilizoorodheshwa na mbunge Shitambara haziwezi tengwa na ccm. Sasa hataungekuwa ww lazima uonyeshe mshangao na wakati mwingine ujitenge na ccm ili utoke kivyako usije pondwa mawe bure!
  4. M

    JamiiForums Magufuli akili CCM kuwanyanyasa watanzania

    Nimeipenda hii!
  5. M

    JamiiForums uunganishaji mita ya luku: hebu nisaidieni ipi ni sahihi na ipi siyo kati ya hizi!

    hata mimi imenishtua, nafuatilia zaidi tanesco ili kujua kulikoni!
  6. M

    JamiiForums uunganishaji mita ya luku: hebu nisaidieni ipi ni sahihi na ipi siyo kati ya hizi!

    Kwa hiyo mkuu unamaanisha ipo sawa...maana nilitaka kulianzisha na jirani yangu maana hiyo connection ipo kwangu tu ukilinganisha na mita zingine!
  7. M

    JamiiForums uunganishaji mita ya luku: hebu nisaidieni ipi ni sahihi na ipi siyo kati ya hizi!

    Mita yangu ipo kwenye picha ya kwanza upande wa kulia, na inamaliza units kwa haraka sana. Niliwaita wa tanesco lakini alikuja jamaa na gari ya Tanesco mie sikuwepo home. Akatoa majibu mepesimepesi sana! Nikamuahidi kulifuatilia zaidi, akashtuka sana! Hiyo connection nimeishtukia hivi karibuni...
  8. M

    JamiiForums uunganishaji mita ya luku: hebu nisaidieni ipi ni sahihi na ipi siyo kati ya hizi!

    mteja; niliripoti lakini majibu yao sikuridhika nayo!
  9. M

    JamiiForums uunganishaji mita ya luku: hebu nisaidieni ipi ni sahihi na ipi siyo kati ya hizi!

    Naomba msaada mafundi wa luku!
Back
Top Bottom