Hongera kaka Paschal. Pia nakualika usome makala yangu kuhusu hukumu ya mh. Lisu nimejadili namna hukumu inavyoonekana kwa macho ya raia wa kawaida asiye msomi wa sheria na namna hukumu hiyo inavyoathiri taswira ya mhimili wa mahaka kwa umma inapatikana humu JamiiForums
Baada ya watu kujadili hukumu ya kesi ya jamuhuri dhidi Mh. Lissu, mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Mendeleo nimeona nami niiangalie kesi kwa jicho la mtu wa kawaida, ambaye si mwanasheria na namna hukumu inavyoathiri twasira ya mahakama kwa jamii.
1 .Iwapo kosa alilokutwa nalo mh. Lissu...
Umeongea vizuri ndg mwandishi. Mimi napenda niangalie katika mlengo mwingine. Ukishakuwa na mfumo wa uchaguzi ambao mgombea anajua anweza ku umanipulate ni tatizo kubwa sana katika mfumo wa uongozi na utawala. Waliopo madrakani wanajua hata wakivurunda hawawajibishwi na wananchi. Kura ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.