Recent content by mazengo worriors

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete, Rais Samia,Karume,Mawaziri Anthony Mavunde, Mwigulu na viongozi wengine mashabiki wa Yanga mmeshindwa kuisaidia Club?

    Kwahiyo changamoto kubwa za mwananchi wa kawaida ni mechi ya yanga na Simba siyo ugumu wa maisha
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida wanayopata NBC

    Umenikumbusha Oral tradition is the history handed down through words of mouth[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukimuondoa Zamalek Kombe la Shirikisho naomba, wanitajie timu ambayo ingeweza kuichalenge Yanga hii iliyotolewa Klabu Bingwa!

    Kikubwa ni kwamba kile ambacho utopolo mlibeza kwamba ni kichaka Cha ranks za Caf mmeshindwa kukifeka,yani badala ya kufikiria kutinga robo fainali nyie mlifikiria kuipita Simba kwenye rank za caf
  4. M

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

    Allah uwakibar! ndiyo nini mkuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bondia Hassan Mgaya afariki Dunia baada ya kupigwa kwa TKO

    Sipati picha huyu bondia aliyesababisha kifo Cha mwenzie yupoje kisaikolojia,ni ujiko kusababisha kifo ulingoni?atakosa mapambano mengine kwamba ngumi zake Zina mikosi?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Thanks God Numbisa is back
  7. M

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kumbe ni wewe???
  8. M

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Asante sana Mkuu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Naomba kuelewa kuhusu UCL ya msimu huu njia itakayotumiwa kumpata bingwa
  10. M

    JamiiForums Tanzania GSM na Hersi mmekivuna mlichokitaka kwa Manara

    Sina TV ndugu yangu
  11. M

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

    Weweeee,peleka Salam Kwa national al ahly[emoji123][emoji123][emoji123]
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kama sisi simba tulichilimbwa 5 kama wangekutana na galaxy zingefika ngapi?

    Wewe una akili kweli?hivi umesahau kuwa yanga alifungwa Moja bila na al ahly misri wakati Simba alidroo na al ahly huko huko misri? kweli mume wako hapo Hana mke ila ni kituko tu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Karia anapambana ili Simba ipangiwe Petro de Luanda

    Dini zote pamoja na dini za asili zimekataza kumzushia mtu,hivi wewe ni dini Gani???
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa AFCON, Ivory Coast wamekubali kupigwa na wamepigika, wachapika 4-0

    Stars kufungwa tatu bila na Morocco ni ushahidi kuwa kumbe hata time Bora yaweza pia kufungwa
  15. M

    JamiiForums Tanzania TFF, Bodi ya ligi na Kamati ya saa 72 oneni aibu kutokuwa na mwamuzi yeyote kutoka Tanzania kwenye AFCON

    Ni aibu sana nchi yenye ligi namba 5 Kwa ubora Africa kutokuwa na Mwamuzi hata m1 huko AFCON.Hivi nyie waamuzi wetu wa Mpira wa Miguu ni lini mtatuondolea hii aibu? Rwanda na Burundi nchi ndogo kabisa zimepeleka waamuzi nadhani Kuna haja ya TFF kuagiza waamuzi kutoka nchi nyingine kuja kufanya...
Back
Top Bottom