Recent content by Mayukuh

  1. M

    GE2025 Tuna mamilioni ya sababu za kwanini OCTOBER TUNATIKI kwa Rais Samia Suluhu Hassan Na kwa CCM na si kwingine

    Sawa,Kama amefanya yote hayo,kwa nn alijiteua kuwa mgombea badala ya kupita kwenye mchakato halali. Mbona anaogopa tume huru ya uchaguzi...Eti SSH Ni mgombea au mteule wa uraisi kupitia Jk. Kura yako haina maintiki yoyote badala ya kupoteza muda kupanga poleni bora ukacheze mdako na mkeo
  2. M

    GE2025 Mpina: Hakuna kura itakayoibiwa, tuna imani na INEC

    Tulishawashtukia ..Mpina Ni Kazi maalumu ya ccm, mpeni taarifa. No Reforms No Fair Election.
  3. M

    GE2025 Baada ya CHADEMA kusambaratika, Demokrasia imesitawi na kushamiri vizuri zaidi tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu wa October 29, 2025

    Watu Kama ww ni vyema kabisa ungelifuatia hivi mapema Sana baada ya Job Ndugai Ameni.
  4. M

    Msijipe moyo kuwa kesi ya Lissu ni ya kisiasa, ni bora mjiandae kikamilifu kama wenzenu walivyojiandaa

    Hakuna wa kumwua Lisu mtaanza kufa nyie wote wenye mpango ovu wa kumwua Lisu....shahidi Hayati Magu.
  5. M

    Tetesi: Eti yule askari aliyemsukuma Lissu pale kizimbani alishayaaga mashindano

    Hata hao mahakimu na dpp wote let them rest in p.
  6. M

    Hii ya Yanga kuchangia CCM na kushindwa kuchangia CHADEMA au vyama vingine vya siasa imekaaje

    Nasubiri mchango wa timu ya Taifa, Taifa stars,sijui wamechangia bi ngap huko ..jamani naomb mnijuze
  7. M

    Kumbukizi, Makonda aliwahi kusema wafanyabiashara wengi wanaichangia CCM sababu ya hofu

    Sawasawa kumbe ndio michezo yenu!!! Kweli ccm Ina mtaji wa watu wanaolazimishwa kuipenda kwa kuhofia maisha na mali zao dhidi ya dola ya ccm.
  8. M

    GE2025 Yericko Nyerere: Siku Lissu akiondoka CHADEMA tutarudi upya, tatizo ni Lissu siyo mtu mwingine

    Nisaidie kumwuliza alichosahau pale CHADEMA, Mimi nitampelekea huko aliko kwa gharama zangu..pumbvu zake.
  9. M

    JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No Reforms No Election
  10. M

    PICHA: Hii ndio maana halisi ya mfariji wa Taifa. Rais Samia Abarikiwe sana

    The Killer,et leo amekuwa mfariji wa Taifa🙉 ...ukapimwe makalio wewe empty head.
  11. M

    GE2025 TEC: Ewe Mungu, Tuma Roho wako, afanye upya uso wa Nchi kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Mungu safisha na ulitokomezee mbali na hapa duniani lile genge la kijani na manjano pamoja na uzao wao wote sababu ,limekuwa laana kubwa kwa taifa hili.
  12. M

    GE2025 Zitto Kabwe: Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais

    Nani atakayepoteza muda kwenda kupanga foleni na kuyapigia kura hayo masengerema ya maccm A & B.
  13. M

    Dkt Nchimbi afika msibani kwa Job Ndugai ampa pole mke wa marehemu Dkt. Fatma Mganga

    Ina maana Hayati Ndungai Hakuwa na washikaji/rafiki zake wa karibu walioujua ukweli wa maisha yale halisi ya mhusiano baina yake na wakeze?
Back
Top Bottom