Lkn sisi wote ni wasikilizaji na watazamaji ya ndani kwao sisi hatuyajui hta kidogo inawezekana mambo ya gwajima,kubaka pengine yacwepo au pia yakawepo lkn chanzo chenyewe hakika hakiwezi kuwekwa wazi sasa bac wao pekee ndiyo wanajua ni nn kinaendelea kwa hyo msimseme saana flora upande wa...
Jamani xmass ndiyo hyo yaja lkn cha ajabu watu badala ya kupumzoka na wanaume zetu badala yake michepuko wanakuwa wanapata nafac hyo magest yatajaa watu watafumaniana jamani wanaume wetu tafadhari mwaka huu naomba iwe zamu yetu njia kuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.