Recent content by Mayonaise

  1. M

    Zamani Wajaluo walikuwa waking'olewa meno sita ya mbele, unaijua sababu?

    Imagine unaambiwa ukiwa na miaka 15 lazima ung'olewe meno sita ya mbele! 😅 Inaweza kuonekana kama utani, lakini hii ilikuwa moja ya desturi zilizokuwepo katika baadhi ya jamii za Wajaluo. Desturi hii ilihusisha kung'oa meno sita ya mbele katika taya ya chini. Moja ya sababu zilizotajwa ilikuwa...
  2. M

    Aunty Lulu ajizawadia gari ya millioni 200

    Habari za Aunty Lulu kujizawadia gari linalotajwa kuwa na thamani ya takribani milioni 200 zimeibua gumzo. Kwa baadhi ya watu, hii ni hatua ya mafanikio binafsi inayopaswa kupongezwa. Lakini kwa wale wanaomfahamu kutokana na historia yake ya kisiasa, hasa kipindi alichokuwa akihusishwa na...
Back
Top Bottom