Recent content by Mayona

  1. Mayona

    JamiiForums Tanzania Kabila la Kiiraqw laweza kupotea kabisa Tanzania

    Pole sana Pasco, sipati picha enzi hizo bashnet ilikuwa vipi maana hata sasa ukienda watu wanafunuka mgorori na blanketi kipindi chote cha mwaka(mgorori kwa ndani na blanketi juu) bila kusahahu Kofia staili ya kininja only macho yanaonekana. Viatu ni gum boot na hatua tano mbele huoni mtu...
  2. Mayona

    JamiiForums Tanzania Kabila la Kiiraqw laweza kupotea kabisa Tanzania

    Iraqw ni jamii ya wakushi,jamii ya watu wanaopatikana Etiopia, Eritrea, somalia, sehemu ya Chad, Misri Djibouti na kaskazini mwa Kenya na Great rift valey kaskazini mashariki mwa Tanzania. Lugha ya Kush ni tawi la mjumuiko wa lugha mbalimbali unaojulikana kama Afro-asiatic ambayo ni jamii...
  3. Mayona

    JamiiForums Tanzania Kabila la Kiiraqw laweza kupotea kabisa Tanzania

    Hakuna mtu mwenye asili ya Tanzania. Wairaqw wanaaminika ndio waliohamia East Africa mapema zaidi kuliko makabila mengine ya Kibantu na nilotes na kwamba waliwakuta Bushmen(Khoisan speaking tribes like Hadza and tsandawe). For your information, Tanzania (mainly Manyara Region) is the only place...
Back
Top Bottom