Ndugu yangu, vitu na watu hawafanani hata kidogo. Hata hao ambao unaona wamestaarabika bado hawafanani. Lazima wanapishana kiwango cha ustaarabu. Ni kama vilivyo vidole vya mkononi, havifanani kwa urefu na hata unene na hata michoro, lakini kila kimoja kina umuhimu wake ktk mwili wa binadamu...
Duh bwana shemeji umeamua kuja kutuanika huku? Kumbuka mkeo amelelewa na kukulia katika utamaduni huu huu ambao una uponda hapa lakini ulimuona ukaja kumchumbia
Mie huwa ninatibiwa hapo mara zote. Sehemu mbalimbali wamebandika namba za simu ambazo kama una shida au umekutana na changamoto basi ukipiga namba hizo unasaidika vizuri tu. Ingelikuwa vema ukapata namba hizo afu ukamtaja huyo anaekwamisha utoaji wa huduma ili aweze kuwajibishwa badala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.