Siasa za chuki na visasi hazifai. Vema bwana Pombe ajikite zaidi kukijenga chama na serikali kama atapata ridhaa ya wananchi hapo Oktoba. Ktk utendaji wake wa kazi kakumbana na vikwazo vingi vilivyo sababishwa na watu. Kama ndivyo basi atawaumiza wengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.