Recent content by mayjay

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kufika kileleni

    Hata mm nina tatizo hilo! nasikia tu kama kuna kufika kileleni tangu nianze haya mambo cjawahi kufika! sasa sijui tatizo ni nini, ukipata msaada nijuze nami
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wa mtu

    Umefanya vizuri sana! usifurahie mateso ya mwanamke mwenzio jua na ww yatakukuta km unavyomfanyia mwenzio, siku zote tenda mema mungu atakupa faraja. Umenifurahisha kwakweli, mungu akubariki sana
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimeshika simu ya mpenzi wangu, sina hamu naye

    Hee we kaka ni wa ajabu, ushauri gani unaouhitaji hapo? Subiri kulea mimba ya mwanaume mwenzio.:teeth:
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alimkataa na kutoa ujauzito, sasa anajuta mikono kichwani

    Hiyo ni mipango ya mungu tu hakuna anayeweza kukwepa
Back
Top Bottom