Recent content by mayestee

  1. M

    Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

    mmh serikali ipige marufuku maana nguvu kazi inapungua
  2. M

    Maisha ya chuo cha DIT

    ningependa kutanguliza salamu kwa wanajf wote kwani mmekuwa msaada sana katika kupeana habar ningependa kuuliza maswali kuhusu CHUO cha DIT kwa anayekifahamu 1)elimu ya pale ni ya aina gani is it more theoretically or practically 2)vipi kuhusu hostel za main campus first year student under...
  3. M

    Naomba kuelekezwa kuhusu Bachelor ya mechanical Engineering DIT

    yapo poa tu man! sema hostel cyo nzur kiivyo
  4. M

    Hongera kwa wote waliochaguliwa kwenda UDSM

    hahhahah watu wanashangilia majina matamu ya faculties zao baada ya miaka 4 wanang'aza sharubu mtaanii
  5. M

    Electrical Engeneering UDSM au DIT

    lkn hyo bachelor ya electrical and biomedical engineering ni special kwa diploma holders tu WA biomedical engineering ambayo inatolewa ATC utaratibu WA form six kwenda moja kwa moja bado haupo na pia wanahitaj watu 25 tu mwaka huu
  6. M

    Naomba kuelekezwa kuhusu Bachelor ya mechanical Engineering DIT

    njoo tu mkuu ila kama umetokea six ukakaze sana mana six wengi wanarud nyumban wanaomaintain weng n WA diploma course IPO poa DIT ila uje na msuli WA kutosha kudisco n kugusa tu
  7. M

    Second selection

    haha ukishapitia nacte huna haki national agents for criminal Tanzanians in education(NACTE)
  8. M

    UDSM on Air...

    vipanga wapya WA UDSM haooo ndani ya mjengo
  9. M

    Kuna Diploma Kafanikiwa au Twapoteza Bando Bure?

    ucpoona view chosen programs ujue umeshachaguliwa CHUO flan ndo mana huwez kuedit machaguo
  10. M

    Kuapply kwa kutumia diploma nje ya nchi

    hahaa qjn ww huna ushaur wowote
  11. M

    Msaada juu ya hii kozi ya Mechatronics Engineering

    hahhaa watanzania bhn bado wanawaza kuajiriwa kiufup kozi n nzur Sana kwa kujiajiri IPO must pale note: ukisoma engineering usibez sana upande WA kuajiriwa waza kujiajiri
  12. M

    Kuapply kwa kutumia diploma nje ya nchi

    samahan wana jamvi nilikuwa naulizia kuhusu kuapply nje kwa kutumia diploma inakubalika hasa kwa nchi kama south africa china india na etc kwa kozi za engineering
  13. M

    Swali

    Second zshatoka lbd Third batch ndo bado
  14. M

    Wale wa DIT diploma

    0766414834
  15. M

    Wale wa DIT diploma

    0766414834
Back
Top Bottom