Recent content by mayegera

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Mahakama ya majizi ni danganya Toto! Kungekuwa na ufuatiliaji na uwajibikaji Leo wengi wangekuwa jera including wagombea wengi has a waliokuja na lengo hilo! Tena hoja hiyo aliitoa mbunge wangu aliyekuwa muandaaji wa ilani kwa lengo maalumu so ya magufuli ata namna ya kuitekeleza hajui ye ni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Who is pole pole? Sio authority ni mere citizen of Tanzania! Ni mere ccm member ni MTU wa kawaida sana kama walivyo graduates wengine wengi tu nchini kuwa kwake katika tume ya mabadiliko ya katiba hakumfanyi afahamu kila kitu au kudhani basi nae akisema wenye akili kama sis tutaondoka na kurefer...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wimbi la wanaojitoa CCM kulipuka wakati wa Kampeni

    Well said
  4. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais ofisi za NEC Jumatatu tarehe 10 Agosti, 2015

    Mgombea wa urais wa ukawa kupitia chadema anataratia kuchukua form trh 10 kwa maandamano makubwa kuanzia buguruni zilipo ofisi za Cuff ad NEC kisha kuelekea kinondoni zilipo ofs za chadema! Source mwanahalisi online!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa akanusha Habari zilizoenea kuwa amejiuzulu

    That's good! Tuunganishe nguvu tusilubali kuendeshwa name hisia za kibinadamu! Hui ni mwaka wa histori!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya kufungua kampuni kisheria zaidi

    kufungua kampuni ni wazo zuri sana. kuna aina tofauti tofauti za makampuni mfano kuna public company,private company haya yanaweza kuna limited by share au guarantee, kuna patinership,sole trade, joint venture. sasa ili kuchagua ni kipi bora kwa nani lazima tuangalie baadhi ya mambo mfano idadi...
Back
Top Bottom