Recent content by Maxy A

  1. Maxy A

    Godbless Lema unarudi Tanzania kufukuzia ubunge. Ila tambua mambo yalishabadilika, 2010 sio 2025. Gea ya ukimbizo nayo ilishakuchafua

    Asee achana na hiyo chombo inaitwa Lema, huyo Lema kwa wanaarusha ni habari nyingine,. Ubunge wa kupewa unampa Sukuma Gang mashaka juu ya ujio wa mwambha Lema
  2. Maxy A

    Godbless Lema unarudi Tanzania kufukuzia ubunge. Ila tambua mambo yalishabadilika, 2010 sio 2025. Gea ya ukimbizo nayo ilishakuchafua

    Hiv ukifika Arusha ukawauliza mbunge wao watamtaja Nani 😅😅🤣🤣
  3. Maxy A

    Taarifa Kwa Umma: Godbless Lema kurejea nchini Tanzania Tarehe 1/03/2023

    Wanangu wa R chuga kwenye hili jambo naomba tusimuangushe mwambhaa
  4. Maxy A

    Taarifa Kwa Umma: Godbless Lema kurejea nchini Tanzania Tarehe 1/03/2023

    Watu wa Arusha yaani wameru, wamasai na wachaga hii ni zaidi ya sherehe,. Yaani katika maandamano ya kumpokea Lema lazima niwepo hata kwa dawa, labda nife kabla hajafika
  5. Maxy A

    Shaka: Wanaotaka Urais 2025 wasahau, ni Rais Samia bara ni Rais Mwinyi visiwani mpaka 2030

    Mkuu huku kitaa huduma zinazopaswa kuwepo hazipo, fuatilia tu issue ya afya in deep then utapata majbu
  6. Maxy A

    Shaka: Kazi kubwa ya Rais Samia imewafanya nyoka waliokuwa pangoni kuanza kutoka mmoja mmoja

    Hiyo n effect ya eneo anakotokea tuu mkuu, mbona wengne badala ya kusema nalala wanasema narara, ??!!
  7. Maxy A

    Shaka: Wanaotaka Urais 2025 wasahau, ni Rais Samia bara ni Rais Mwinyi visiwani mpaka 2030

    Kutana na hao chawa sasa, wanampigia debe kinafik sana
  8. Maxy A

    Shaka: Wanaotaka Urais 2025 wasahau, ni Rais Samia bara ni Rais Mwinyi visiwani mpaka 2030

    Naona wenye mamlaka kwakuwa wanakula, wanasafirishwa, wanatibiwa na wanasomeshewa watoto bure kwa kodi yetu mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa, njooni mtaani huku hatutaki hata kusikia jina lake, hata wanaoitwa samia wamebadili majina 🚮🚮🚮
  9. Maxy A

    Sabaya atatolewa gerezani, akina Halima Mdee wataondolewa ubunge na kuanzisha chama kipya ama kuelekea ACT Wazalendo

    Bora hata umeona kuwa huyu ni chawa tena chawa promax, anatafuta kik usiku kucha huyo kwa kuwaponda upinzani
  10. Maxy A

    Tujikumbushe kuhusu Hoteli ya Alkael Mbowe kutumia umeme wa wizi

    Kabla ya mahakama, kulikua na haki??!! Actually hata mahakama ziliendeshwa na mwendazake
  11. Maxy A

    Tujikumbushe kuhusu Hoteli ya Alkael Mbowe kutumia umeme wa wizi

    Ndio chawa anatafuta tawi la juu hapo😏😏
  12. Maxy A

    Tujikumbushe kuhusu Hoteli ya Alkael Mbowe kutumia umeme wa wizi

    Uhakika mkuu, vifua vyetu vina siri nyingi mno na maumivu makubwa
Back
Top Bottom