Recent content by Maxwell Makware

  1. M

    Jukwaa la wafanyakazi huru (freelancers marketplace) kwa Afrika linaweza kushamiri?

    Maridhawa kabisa na ninafurahi kupata mawazo kutoka kwa mtu aliye jaribu. Karibu sana. Maswali yangu kwako: Chief asante sana kwa mchango wako... asante sana..
  2. M

    Jukwaa la wafanyakazi huru (freelancers marketplace) kwa Afrika linaweza kushamiri?

    Asante sana mdau, umenipanua mawazo kwa undani sana. Nadhani moja kubwa kabisa ni kama ulivyo sema hapo juu; tamaduni za ku-outsource huduma kwa makambuni na taasisi haujawa na mwamko au bado haujapata mhamasishaji na muelimishanji. Kuh graduates kua na awareness sidhani kama ni tatizo...
  3. M

    Jukwaa la wafanyakazi huru (freelancers marketplace) kwa Afrika linaweza kushamiri?

    Nauliza kama jukwaa au soko la freelancers au wafanyakazi huru linaweza kua na tija au uhitaji kwa Africa mashari au hata Africa kwa ujumla. Kwa kiasi flani watu wengi naona wako Fiverr, Upwork etc ambayo ni makampuni ya Marekani au ughaibuni huko. - Najua vijana wanahitaji na wako tayari...
  4. M

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Naomba mawazo kwa mnaotumia huduma hii. Hasa nduki package. Kweli Nyumbani Kumenoga?
Back
Top Bottom