Recent content by Mawishey

  1. M

    Dhana ya "kumbemenda mtoto"

    Mimi ninavyofahamu wakati wa ufanyaji wa mapenzi kuna baadhi ya hormone za mwanamke ambazo huwa stimulated na kuzalishwa na kwenda moja kwa moja kupitia kwenye damu na kwenda hadi kwenye maziwa ambazo hizo hormones ndizo huleta madhara kwa mtoto na sio shahawa ambazo huleta madhara. Naomba atoe...
  2. M

    Global Alliance. Je, ni matapeli?

    Mm mwenyewe nilishakwenda kwenye seminar Yao yakanishinda masharti ya kutoa laki tano koz kuna jamaa angu mmoja yupo hapo anamiaka miwili nae Sema naona hali yake ipo pale pale, so sielewi atafanikiwa lini
Back
Top Bottom