Recent content by Mawimba

  1. Mawimba

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Anayerudi Baada ya Mafanikio

    Binafsi mwanamke mzuri ni yule ambae hamjapitia nae Miangaiko ya mafanikio yako
  2. Mawimba

    JamiiForums Tanzania Hivi Vijana wa CHADEMA walikuwa wapi huyu dada akapambana mwenyewe?

    Ulikuwepo pale?
  3. Mawimba

    JamiiForums Tanzania Hivi Vijana wa CHADEMA walikuwa wapi huyu dada akapambana mwenyewe?

    Idadi ya Polisi ilikuwa ndogo kuliko ninyi Afu mukazuga kama hamuoni mwenzenu NoReNoE haikuwa kwenye serikari tu ilikuwa na Kwa sisi Wajinga Ambao atuwezi kudai haki zetu front zaidi ya Mtandaoni Tubadilike. Mbowe nilimuelewesha sa Sijui kawapotosha nani?
  4. Mawimba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina achana na habari za kugombea Urais feki, madalali wa kisiasa ndani ya ACT wanakutumia!

    Mimi na mume wangu muliro pale hatukukuona wewe bi mdogo. Ndio sasa mume wetu kauliza wewe ulikuwepo? maana nimemwambia wewe unanipinga sana Mtandaoni
  5. Mawimba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina achana na habari za kugombea Urais feki, madalali wa kisiasa ndani ya ACT wanakutumia!

    Nakushukuru mjanja ulikuwepo pale mahakamani Leo?
  6. Mawimba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina achana na habari za kugombea Urais feki, madalali wa kisiasa ndani ya ACT wanakutumia!

    Kwangu Tukana Vua nguo Hila nasema wafuasi wa NoReNoE hamkuelewa falsafa inamaanisha Nini Mulikulupuka Sasa tuliene mwenye wazo niwape maana Matusi Ruhusa Kama Mbwa 20 Wanawapiga Mbwa 150+ wanaotaka mabadiliko uku kisheria awajatenda kosa basi hao Mbwa 150+ ni majike tu mbele ya madume 20...
  7. Mawimba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina achana na habari za kugombea Urais feki, madalali wa kisiasa ndani ya ACT wanakutumia!

    Shukrani Kiongozi Mushapigwa, tena ni Mbele ya Mahakama Afu munaangaika Na NoReNoE uku ninyi mumeshindwa hata kubadilika tunawataka wanaume kama Nepal Tanzania wanaharakati wa nyuma ya Keyboard ni Wajinga tu kama Wajinga wengine mamaee Zenu
  8. Mawimba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Lissu yupo Gerezani kwa sababu anapigania haki

    Message sent
  9. Mawimba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Lissu yupo Gerezani kwa sababu anapigania haki

    Nakushauri kuwa muulize muhasisi wa NoReNoE ameipata wapi na ilikuwa na dhamila Nilimshauri Mbowe NoReNoE sio makaratasi pekee pia NoReNoE Wajibu Kwa watu wetu wafanye mabadiliko tuwe tayari kuifuata Sheria na Katiba pasipo kuyumba. Sasa ninyi wanaharakati wa mtandaoni mumeifanya kama mchezo...
  10. Mawimba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Lissu yupo Gerezani kwa sababu anapigania haki

    Wewe na wenzako Muende huko mukapambane Sio kuja hapa na No Reform No Election
  11. Mawimba

    JamiiForums Tanzania Hivi Vijana wa CHADEMA walikuwa wapi huyu dada akapambana mwenyewe?

    Walikuwa Nyuma ya Keyboard kuandika No Reform No Election
  12. Mawimba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Lissu yupo Gerezani kwa sababu anapigania haki

    NoReNoE hoja dhaifu Kwa kitendo Cha Polisi 20 kuwatawanya wanachama wa Chadema 150+ pale mahakamani Wewe na wengine wengi muko mtandaoni mukijifanya wanaharakati Madiliko yanapaswa tuanze wanachama kujitoa kusimamia Sheria na Katiba Sio ikivunjwa ndio tuje na NoReNoE ni Uboya #Leo nimeumizwa...
Back
Top Bottom