Hayajawa polished, kwasababu kwanza kuna polish tofauti tofauti hivyo kufanya mteja awe na choice tofauti,zipo polish ambazo ukipaka zitabadilisha uhalisia wa jiwe,zipo polish ambazo Zita ya ng'aza mawe lakini yakabaki kuwa na muonekano halisi usio na shaka. haya yote ni matakwa ya Wateja ndio...