Recent content by mawazomgala

  1. mawazomgala

    Habib Mchange: Muswada wa vyama vya siasa umechelewa

    kwani haki ya mtu kuongea inatamka ukomo wa mtu kuongea?
  2. mawazomgala

    swali kuhusu E-bay

    yes kinakuja kama ulivyoagiza, na mzigo naona unapoelekea kwa stage zote,sema sijajua tu unapatikana wapi ukiwa umefika
  3. mawazomgala

    swali kuhusu E-bay

    ofisi zao ziko wapi kwa dar mkuu
  4. mawazomgala

    swali kuhusu E-bay

    jamani aliyewahi kuagiza mzigo kutoka ebay mzigo ukifika unaenda kuchukulia wapi, msaada wakuu maana hii ni mara yangu ya kwanza.
  5. mawazomgala

    Habib Mchange: Muswada wa vyama vya siasa umechelewa

    Sawa mke wangu lakini hili povu ni sababu umeniambia natoa mimate, sasa wewe unatoa mkojo mdomoni?, acha kuongea non sense, ushakuwa mtu mzima wewe
  6. mawazomgala

    Habib Mchange: Muswada wa vyama vya siasa umechelewa

    sawa dada wewe ukiongea unatoa mikojo?
  7. mawazomgala

    Habib Mchange: Muswada wa vyama vya siasa umechelewa

    a Utangoja muda mrefu ili asahaulike, anawashika kwelikweli
  8. mawazomgala

    Habib Mchange: Muswada wa vyama vya siasa umechelewa

    Ndio akili za vijana wa Chadema zinapoishia, hopeless kabisa
  9. mawazomgala

    Habib Mchange: Muswada wa vyama vya siasa umechelewa

    ana haki ya kikatiba kuongea
  10. mawazomgala

    Habib Mchange: Muswada wa vyama vya siasa umechelewa

    HUKU mjadala juu ya muswada wa mabadiliko ya sheria za vyama vya siasa nchini ukiendelea, wanaharakati nao wameamua kuvunja ukimya na kudai wanashangaa kwanini sheria nzuri namna hii imechelewa kuletwa nchini. Tayari baadhi ya vyama vya siasa vimeshapeleka zuio mahakamani, kutaka muswada huo...
  11. mawazomgala

    Jokate apokea kwa kasi maombi ya vitambulisho vya wafanyabiashara wadogo Kisarawe

    SAA chache baada ya Rais Dk. John Magufuli, kugawa vitambulisho 25,000 vitakavyowatambulisha wafanyabiashara wadogo nchi nzima, tayari katika baadhi ya wilaya wafanyabiashara wadogo wameshaanza kupeleka maombi kwa ajili ya kupatiwa vitambulisho hivyo. Vitambulisho hivyo, vitawatambua...
Back
Top Bottom