Huyu jamaa sijamuelewa hata kidogo hata sijui alikuwa anasema nini? Tatizo serikali imeshindwa kutoa majibu kwenye maswali mhimu. Ndo maana jaya AG hana cha kujibu hana
Nawapongeza Zambia kwa hatua hizi wanazochukua dhidi ya Watanzania kwa sababu wanatufundisha akili na kutupa maarifa sisi huku kwetu geti tumeliacha wazi watu wanaingia na wanafanya wanavyotaka lazima ifike hatua na sisi tuweke mikakati vizuri. Mfano kuifikia DRC bila kupita Zambia ni jambo...
Kuna shida kubwa sana ya kiutawala kwa awamu hii . Nafahamu mama anakusudia kuanzisha wizara mpya ili awapange washikaji wala si lolote, kwanza mpaka sasa tuna wizara nyingi ambazo hazina tija yoyote kwa taiafa. Ukiona hivyo kuna wamba wamekataa uteuzi wowote ule bali wanataka uwazori. Kuna...
Nimefanya Tafiti ndogo kwa ndani ya miezi sita sasa, kwa sasa ukiwa road ukaona gari limejaa tope uko mkoani basi usiùlize limetoka wapi jua tu limetoka Kigoma.
Kwa sababu mpaka sasa toka tupate uhuru Kigoma pekee ndo mkoa ambao haujaunganishwa na mikoa mingine kwa lami.
Kuna vitu vinafanywa usiri wakati hajikutakiwa kuwa vya siri, na usiri huu unaofanywa unakuta ni terget tu ya kuweka watu wao wanaowataka, na ndo maana tunapata watu wasio na weledi na wenye IQ ndogo sana kiutendaji yawezekana ni mkakati tu wa mtu. Kinachotakiwa watangaze nafasi za kazi watu...
Nchi mumeuza, mumeigawa vipande vipande, maisha yamekuwa magumu mno, rushwa imetanda kila kona, ufisadi umetamaraki kila kina, vitu mhimu vimepanda Bei mara dufu,. Jicho legevu nchi imemushinda miradi ya Maendeleo yote imesimama.
Magufuli tunakukumbuka wote hata hawa wanaoimba mapambio kila...
Ni kweli tuna wabunge Vilaza kweli kweli, hawa wabunge siyo chaguo la wananchi ndo maana wanatukomesha ili tukomee na tupate cha moto kabisa, Hakuna Mbunge aliyeko Bungeni aliyechaguliwa na wananchi hivyo hawako Bungeni kutuwakilisha bali wako Bungeni kuchochea na kuhamasisha Uchawa. Huwezi...
Kwanza kabla hujaandika umefanya tafiti? Nchi zinazoongoza kwa ukatili, utesaji, unyanyasaji, Rushwa, ubaguzi wa hali ya juu, na Dhuluma viongozi wao wengi wameapa kwa Msahafu. Any way binafsi napinga sana viongozi hasa viongozi wa kiafrika kuapa wakiwa na vitabu vitakatifu kwasababu huwa...
Unyampara unakuja kutokana na maamuzi yake, unyonyaji wake kwa wananchi wanyonge, Rushwa imekithiri. Nyampara ni mtu frani ambaye hana huruma hata kidogo, kwa Tozo hizi zinazoendelea sijawahi kumuunga mkono Mdude lakini kwa hili mama ni Nyampara. TOZO TOZO TOZO TOZO BADO TOZO LA BAO.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.