Sio rahisi kumpata mtu mwenye sifa zote uzitakazo coz hakuna binadamu aliyekamilika. Cha msingi punguza papara,siku zote mume mwema hutoka kwa Mungu nasio hivi mitandaoni, hapo watu watakukejeli tu unless ur not serious. Pia jiangalie na wewe,una kasoro gani na jirekebishe. Some times tunakosa...