Recent content by maulidimakalan

  1. maulidimakalan

    Tundu Lissu kwa sasa anaishi katika fikra za watanzania wengi kuliko mtanzania mwingine yoyote yule

    Lissu huku vijijini tuna mkubali sana yaani anakubalika
  2. maulidimakalan

    Mbona Salamu Za Pongezi Hazimiminiki Kwa Uhuru Kenyatta Kama Uchaguzi Uliopita?

    Kwa nchi za afrika demokrasia hakuna kabisa inatumika nguvu2
  3. maulidimakalan

    Jeshi la Polisi: Sheikh Ponda ajisalimishe Polisi ndani ya siku 3, vinginevyo hatokuwa salama

    Siongei sana lakin haipendezi kwa nchi yenye aman na upendo dini inabanwa sana
  4. maulidimakalan

    Raila Odinga aondoka nchini Kenya na kwenya UK ataelezea huko hali ya Kisiasa ya Kenya

    Huyu mwana siasa wa kweli na safari aijaanza hiyo2 odinga anauchungu wa kuikomboa nchi unajua sababu ya kughairishwa uchaguzi tusiongee kiushabiki hile kama kazi au ajira penye pesa hata wewe lazima utafanya kila jitihada ili upate
  5. maulidimakalan

    Magufuli huenda akawa Rais wa pili kuenziwa zaidi baada ya Mwalimu

    Inawezeka kwa sababu huku vijiji hali mbaya sana jua kali kazi hakuna hata wafanya kazi hamna mzunguko wa pesa hamna mkoa wetu wa pwani kuna kiwanda kikubwa kabisa kufanya kazi humo ni bora ukalime kibarua huko wenzet mijini kuna miradi mikubwa ya kupata pesa lkn sisi huku bado hatujaguswa sisi...
  6. maulidimakalan

    SWALI: Tangu Prof. Ndalichako ateuliwe kuwa Waziri wa Elimu, ni kitu gani amefanya katika kuboresha elimu?

    hasa huku vijijini elim bado inapatikana katika mazingira magum sana wengine ndugu zetu wamesoma hadi six lkn uwezo wa kuendelea na masomo hawana body ya mikopo imeweka mashart kibao tofaut na inavyokua imepelekea wengi wao kukosa mikopo tunao mitaani kwa hali kama hii nchi yetu inaendeleaje...
Back
Top Bottom