Recent content by Maulidi chishako

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji kuku wa kisasa

    Kabla ya KUANZA kufuga, unapaswa kuwa na Elimu bora na sahihi ya ufugaji. Inayo husisha. lishe, malezi na magonjwa Tu basi. Ukiyajua hayo ninakuruhusu uanze ufugaji.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuku ukiwafuga kwa matumizi ya Nyumbani hawapati shida yoyote ila ukiwageuza tu kuwa Business Project kila kitu hugeuka

    CHANGAMOTO NI ELIMU BORA YA UFUGAJI WA KUKU. Kabla ya kuanza ufugaji, Kuna vitu muhimu unapaswa kuvifahamu kiundani. Hapa inahusisha ufahamu wa AINA YA KUKU unataka kuwafuga kibiashara. DHUMUNI la kuwafuga, Ili kuepuka hasara Hata wasipokufa Kwa magonjwa, Bado unaweza pata hasara kutokana na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna biashara inafilisi kama uchimbaji wa madini

    Hiyo kweli ngumu kumeza.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu dawa za vidonda vya tumbo.

    Habari wana jamvi, eti ni kweli kama inavyosemekana mtaani kua "Dawa za hospitali haziponyi kabisa tatizo la vidonda tumbo?"
Back
Top Bottom