Recent content by maua abdulrahman

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye maswali yanayoulizwa kwenye peper ya assistance tax management officer

    B Boss kwangu hata hayafunguki sijui kwa nn document inasoma bin badala ya pdf
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye maswali yanayoulizwa kwenye peper ya assistance tax management officer

    Mimi haifunguki na doc imejiandika bin na sio pdf nifanyeje ili ifunguke na Mimi niweze kujiandaa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye maswali yanayoulizwa kwenye peper ya assistance tax management officer

    Boss Mimi haifunguki na doc imejiandika bin na sio pdf nifanyeje ili ifunguke na Mimi nipate kuyapitia hayo maswali ili nijiandae
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kujisajili TAESA kwangu ni tatizo

    Sawa shukran
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kujisajili TAESA kwangu ni tatizo

    www.taesa.go.tz
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kujisajili TAESA kwangu ni tatizo

    Habari wapendwa, Hivi kujisajili taesa inakuaje au sasa hv mfumo haufanyi kazi? Maana toka juzi nahangaika kujisajili haifiki popote ina search kwa muda mrefu inaandika tu contacting website again nakuendelea ku load tena na tena mwishowe inaandika Google couldn't reach the internet. Sasa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kujisajili na portal ya taesa

    Kila nikijiunga inakataa nahisi labda nakosea
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kujisajili na portal ya taesa

    Habari ndugu zangu. Naomba kuelekezwa jinsi ya kujiunga na portal ya taesa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa kazi katika interview

    Shukran sana ndugu yangu mungu akulipe yaliyo mema
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Uhasibu na Usimamizi wa Fedha

    Umeandika Umeandika vizuri hadi nimependa ningekuwa na kampuni ningekuajiri
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi katika fani ya Uhasibu na Usimamizi wa fedha (Accounting and Finance). Nipo tayari kurelocate sehemu yoyote

    Naomba nielekeze jinsi ya kujiunga na taesa ndugu yangu tafadhali
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa kazi katika interview

    Habari wapendwa. Hivi kwenye interview Kuna swali la uzoefu wako katika kazi hiyo uloomba mfano muhasibu aidha wanakuambia wa mwaka au miaka mi2 swali hili naweza jibu vp ikiwa sijawahi ajiriwa toka kumaliza chuo na kazi naitaka?
Back
Top Bottom