Recent content by matwin

  1. M

    JamiiForums Tanzania Chakula kwa mtu wa operation

    Tangu siku anaruhusiwa docta alisema ale kila kitu sasa hofu yetu ni kwamba je akipata choo kigumu. Ndio maana tunauliza kwa wengine tupatiwe ushauri... hii ni wiki ya tatu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Chakula kwa mtu wa operation

    Sio ubahili mkuu hii ni wiki ya tatu sasa na anakula kila wakati anapojisikia... ila sasa kula kila siku kitu kilekile ni changamoto... docta ameruhusu ale kila kitu ila sasa hofu ni kupata choo kigumu... ndio maana tunauliza kwa wengine Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chakula kwa mtu wa operation

    Habari wana jf .... samahani naomba kufahamishwa ni lini hasa mtu aliyejifungua kwa operation anaweza kuanza kula kawaida tofauti na ndizi au viazi. Kwani havikai tumboni na mtoto ananyonya saana kwa hivyo unakuta muda wote mama ananjaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Ceftriaxone kwa mjamzito

    Asante saana GOD BLESS YOU........
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Ceftriaxone kwa mjamzito

    Uti ipo >100 per cell... amoxicillin nimetumia na cephalexin nimetumia haiishi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Ceftriaxone kwa mjamzito

    Asante saaana.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Ceftriaxone kwa mjamzito

    Kwani ni vibaya kuuliza? Si unapata elimu zaidi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Ceftriaxone kwa mjamzito

    Private hosp
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Ceftriaxone kwa mjamzito

    Wadudu wapo above 100 wanasema imekua kali saaana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Ceftriaxone kwa mjamzito

    Msaada wenu plz madactari
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Ceftriaxone kwa mjamzito

    Habari zenu jmn.... hii dawa ya kuchoma kwenye mishipa kwa mjamzito kwa ajili ya uti ni salama? haiwezi kuleta madhara kwa mtoto. ujauzito ni wa wiki 28...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kipandauso (migraine): Chanzo, Dalili, Tiba na jinsi ya kujikinga na tatizo hili

    Naomba msaada juu ya maumivu ya kichwa upande wa kushoto karibu na jicho yanayokuwepo usiku na asubuhi. Nimeenda hosp nimepewa panadol. Kwa anayejua namna nyingine anisaidie kwani dawa siwezi tumia saana kwa wakati huu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuona kwa mjamzito

    Asantee
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuona kwa mjamzito

    Madaktariiii
Back
Top Bottom