Wanajamii tusianze kujaji kwa kuangalia udini?wewe siyo thinker nini?watu wapo kiperformance zaidi acha ushamba kama umekosa point cool down bwana.ishu iliyopo je mtu kama babu kipozi na novatus makunga wanaweza kuwa tegemeo la maendeleo?achilia mbali elimu busara za kupambana na changamoto wanazo?
This shows need to have the constistutional it is unwise to appoint the people who cannot perform.tutafika?manyoni tumekaa mwaka mmoja bila dc na mambo yako supa tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.