Nikupe jembe ukalime halafu me unipe urais hapo ndy utajua maisha ya Uganda ni marahisi au cyo marahisi we mbona umekaa madarakani miaka 37 halafu unasema watu wavivu Toka kwenye urais ndy utajua maisha ya kitaa
Kila kitu kinachotokea kwenye jamii huwa kinaanzia kwenye familia Yani baba na mama ,baba kazi yake huwa ni kutimiza mahitaji ya familia kama chakula,mavazi na makazi na mama kazi yake huwa ni kulea familia. Sasa wazazi wengi huwa hatuna utaratibu wa kukaa na watto wetu na kuwauliza changamoto...
Njia sahihi ya kupunguza uzito ni kuacha kula zingine ni story mfano mazoezi mtu kufanya mazoezi ni kuchoma calories e.g mtu amekimbia km3 kachoma 100 calories but akirudi na njaa anakula wali nyama,maziwa kidogo anaingiza Tena zaidi ya calories 100
Pia magari mengine ya mwendokasi ni mabovu sana hasa magari ya Morocco mengi yameharibika,Pia waongeze magari ya mwendokasi wakati wa jioni kunakuwa na shida sana ya usafiri wa kutoka kivukoni kwenda kimara na kutoka gerezani kwenda kimara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.