Recent content by Mats255

  1. M

    Naomba ushauri, nataka kununua Toyota Rush

    Ninaamini unazungumzia Rush toleo la kwanza j200 na j210. Hii gari nimetumia kwa muda sasa zina engine mbili tofauti k3 (1300 cc) na 3sz-fe 1500cc. Binafsi nakushauri uchukue 3sz kwaajili ya nguvu. Changamoto kubwa ya hii gari ni mafundi. Hii gari ni daihastu, mafundi wengi zinawazingua hasa...
  2. M

    Tujuzane chochote ujuacho kuhusu Toyota Rush

    Thanks, Kwenye matunzo sidhani kama kuna utofauti wowote, labda matumizi ya mafuta kwenye Rush yanaweza kuwa juu kidogo ya IST hii inakupa 13-14km/L (hii nimejaribu mwenyewe), ila hili ni 2WD kuna yenye AWD yanaweza yakawa na ulaji mkubwa kidogo. Pia engine yake ni 3SZ 1495cc, kama utahitaji...
  3. M

    Tujuzane chochote ujuacho kuhusu Toyota Rush

    Kila mtu ananunua gari kutokana na mahitaji yake, ila kama unataka SUV yenye ulaji mzuri wa mafuta ni toyota rush au mazda cx5
  4. M

    Tujuzane chochote ujuacho kuhusu Toyota Rush

    Nimetumia hii gari kwa muda sasa 1. Kudumu (Relibility ) Hii ni gari ambayo haikupi kabisa mawazo hasa kama unazingatia muda wa kufanya service, binafsi haijawahi kunipeleka gereji zaidi ya kumwaga oil na kwenda kufunga radio. Ingawa kuna baadhi ya watu wanalalamika kwamba sterling yake huwa...
Back
Top Bottom