Recent content by matongo manawa

  1. M

    Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Tunawatakia upigaji kura wa amani na uchakuzi uwe huru na hali.
  2. M

    Dr. Slaa: Sijatoa tamko lolote, Sitokuwepo Jangwani Kwenye uzinduzi wa Kampeni za CCM

    Asante sana Dr Slaa kwa kutokubali kuunga mkono ccm na mfumo wao singivu,lakini nakuomba tu ulejee kwenye uwanja wa mapambano umalize kazi uliyoianza.Usituvunje moyo tunakusubiri sana CHADEMA kama si leo ni kesho,Mungu azidi kukuhekimisha. Katika hali yoyote uliyonayo na mahali ulipo fahamu...
  3. M

    Tofauti ya mapokezi ya Lowassa Airports akiwa CCM na akiwa CHADEMA

    Umeleweshwa na mvinyo haramu wa ccm,na akili yako imekuwa haramu,na fikira zako zimekuwa butu na macho yako yamepofuka. Anguko lenu linakuja haraka Sana.
  4. M

    Wanafunzi waliosoma Shule ya Sekondari Dakawa ni mfano wa kuigwa

    Twatwatwa mpaka nimeguswa Mimi pia nimeshiriki sana ktk shule niliyosoma,nitamtafuta mwanadakawa atuwekee picha kama mdau alivyoomba. Nafahamu kanuni ya kubarikiwa huanza kwa utoaji,juhudi za hawa jamaa si za kubeza hata kidogo.
  5. M

    Wanafunzi waliosoma Shule ya Sekondari Dakawa ni mfano wa kuigwa

    Kwenye taarifa ya habari ya ITV tarehe 26.04.2015 saa mbili usiku,niliguswa na taarifa ya wanafunzi waliosoma zamani katika shule ya secondary Dakawa iliyopo Morogoro kujitoa na kusaidia maendeleo ya kitaaluma shuleni hapo. Lakini zaidi wamechangia kuweka vizuri mazingira ya kitaaluma shuleni...
  6. M

    Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza

    Nimeangalia na kufuatilia kwa karibu harakati za kisiasa zinazoendea nchini mwetu,na hasa zilivyonogeshwa na mwanasiasa machachari Zitto kujiunga na ACT-Tanzania,chama anachodaiwa na mahasimu wake kuwa alikiasisi yeye na wenzake akiwa ndani ya CHADEMA ambamo ndimo alikuzwa na kulelewa kisiasa na...
  7. M

    Taarifa kwa Umma: Mabadiliko ya maafisa uhamiaji wa mikoa, wilaya na vituo

    Bado sana mabadiliko haya hayajagusa roho ya uhamiaji,huyu jamaa anaweza akaingizwa mjini nasafu iliyojijengea ufalme pale makao makuu. Kama kunakitu muhimu cha kukisuka upya ni kuanza na Idara ya utumishi anatakiwa aipange safu makini inayojali taaluma na majukumu. Huu mzigo wa ma-naibu...
  8. M

    China, adui wa maendeleo na Demokrasia Tanzania! Balozi avaa kofia ya CCM

    Bendera ya Marekani ni ya taifa si ya chama mkuu. Mimi nisingekuwa na tatizo km angevaa kofia ya nembo ya bendera ya Taifa.
  9. M

    China, adui wa maendeleo na Demokrasia Tanzania! Balozi avaa kofia ya CCM

    Nimeshtuka kidogo kumwona balozi wa China nchini TZ ktk mkutano wa CCM akiwa na Kinana(mzee wa Tembo). Balozi huyo alikuwa amevalia kofia ya CCM na akapewa nafasi ya kuongea kidogo ktk mkutano wa Chama cha Chakachua Kila kitu,mkutano huo ulikuwa unafanyikia mkoani Shinyanga. Wadau nisaidieni...
  10. M

    Mkuu wa wilaya Korogwe (Gambo)na vioja vyake kila kukicha!!!!!

    Inashangaza mteule wa Jk bw Gambo a.k.a Serengeti boys kuagiza Waalimu wote wiayani humo wachangie bati moja moja la geji thelathini na mbili.Hiyo ni kutokana na kusimamia utekelezaji wa mpango wa big result now. Baadhi ya waalimu wamepinga vikali amri hiyo kutokana na kuwa kinyumacha taratibu...
  11. M

    Juma Nkamia ni mnafiki

    MGANGA NJAA KAMA ALIVYOJIITA MWENYEWE!!! Mkuu ukiwa liccm akili inakuruka
  12. M

    Juma Nkamia ni mnafiki

    Hii inathibitisha pia pasipo na shaka kuwa hata maneno na mchango anaotoa bungeni hautoki moyoni,bali NI KWAAJILI YA KUGANGA NJAA. AMEWASAKAMA WAANDISHI ILI AGANGE NJAA!!!!!
  13. M

    Juma Nkamia ni mnafiki

    Amewashambulia waandishi wa habari kuwafuata wapinzani walipotoka nje. Akadai habari ni mswada na si kutoka nje, amesahau kuwa matukio haya yanaendana yaani wapinzani wametoka kutokana na mchakato kuanza kuchakachuliwa na maccm. Waandishi wa zama hizi si wa zama za Nkamia. Kwa umbumbumbu wake...
  14. M

    Wabunge wa upinzani watoka nje ya bunge kugomea kikao cha muswada wa Katiba

    Mbunge wa kishpu hasara nyingine, Anaona waliotoka nje ni CHADEMA pekee. Anaona aibu kuwataja wakeze!!!
Back
Top Bottom