UHALALI WA UTEUZI WA MAKAMU MWENYEKITI WA BODI YA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA ULIOFANYWA NA RAIS.
1. SWALI
Mwana JF anayetumia Username ya Hand Hand aliuliza swali hapa JF kuhuu uhalali wa kisheria wa Uteuzi uliofanywa na Rais Samia wa kumteua Bi Mtumwa Khatibu Ameir kuwa Makamu Mwenyekiti wa...
Tafuta Katiba (Swahili version) Toleo la 2005 soma ukurasa wa 15 utaona Ibara ya 4 (3) ya Katiba na muhimu sana soma ukurasa wa 128 kwenye Orodha ya Mambo ya Muungano hususani soma Orodha Na. 11 na 17 ambazo ziko kwenye Nyongeza ya Kwanza ya Katiba.
Mambo ya Usafiri wa Anga na Usafirishaji wa Anga ni mambo ya Muungano yapo kwenye orodha ya mambo 22 ya Muungano kwa mujibu wa Ibara ya 4 (3) ya Katiba ikisomeka kwa pamoja na Aya ya 11 na 17 ya Nyongeza ya Kwanza (First Schedule).
Sheria kukinzana na katiba kwa kawaida inatokana na sababu 2, ama ni udhaifu wa Ofisi ya Chief Parliamentary Draftsman au ni uamuzi mahusisi wa kisiasa.
Hata mimi ninatafurahi sana siku utakapoanzishwa utaratibu wa fair, transparent and competitive recruitment process ya nafasi zote katika utumishi wa serikali ambapo Rais atafanya ceremonial appointment baada ya mchakato wa ushindani.
Ndugu yangu pinga hoja zangu kwa legal authorities ikiwemo katiba, sheria, hukumu za mahakama (case law) na machapisho ya wanazuoni wa sheria na sio kupinga hoja zangu kwa maneno matupu.
Ni kweli kabisa, katiba inampa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mamlaka makubwa sana kupita mipaka ya kawaida yanayokalibiana na ufalme ndo maana Mwanazuoni wa Sheria maarufu hapa nchini, Prof. Shivji aliipa taasisi ya Urais hapa Tanzania jina la "Imperial Presidency".
TAFSIRI POTOFU YA JF MEMBER NDUGU TATHMINI YA IBARA YA 36 (2) YA KATIBA KUHUSU UTEUZI WA RAIS WA MTENDAJI MKUU WA TANROADS.
1. UTANGULIZI.
Ndugu yangu Tathmini ambaye ni Member mwenzangu wa JF amekosoa vikali makala yangu hapa JF yenye kichwa cha habari kifuatacho; ( Rais Samia ana mamlaka ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.