Recent content by matoe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hali ni tete Mtwara Leo, Sakata la Gesi

    Ni milio ya risasi na Mabomu kila kona Polisi wanapambana na Wananchi wenye hasira baada ya serikali kutangaza azma yao ya kusafirisha gesi kwa bomba kwenda Dar.kauri za wanasiasa zilizo jaa jazba wakiongelea mbali na eneo la tukio wamekwisha sababisha maafa.Nani wa kutunusuru na balaa hiliiiii
  2. M

    JamiiForums Tanzania Gesi ya Mtwara na Wanasiasasa

    Leo hii niko Mtwara hali ni Tete vurugu kila kona ya mji.Mabomu na risasi za moto,Kwa ujumla ni hofu kila kona. Wanasiasa punguzeni ukali wa Kauli zenu kwa manufaa yenu.Damu hii inayomwagika ya Wananchi wasio na hatia mtakuja jutia kauli zenu.
Back
Top Bottom